kila siku
- tenga walau nusu saa,
- tengeneza picha ya vile unavyotaka kuwa
- kiri kulingana na ile picha uliyoitengeneza
hiyo picha inashinda mazingira yako ya akili mithali 20;18b na kwa shauri la akili fanya vita. usilikuze tatizo lako kwenye akili yako.
OMBI.
1. ROHO MTAKATIFU IUISHE PICHA NZURI ILIYOKO MOYONI MWANGU.( UKIWEZA ITAJE/IELEZEE JINSI ILIVYO).
2. ROHO MTAKATIFU ITIE NGUVU PICHA NZURI ILIYOKO MOYONI MWANGU.( UKIWEZA ITAJE/IELEZEE JINSI ILIVYO).
Post a Comment