SPEND TIME WITH GOD



Zab 1: 1-2 heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki wala hakusimama katika njia ya wakosaji; wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo, na sheria yake uitafakari mchana na usiku.

usijitweke vibaya katika yale unayoyasikia kila siku hayatakuongezea kitu. imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la kristo hivyo


  1. hakikisha kila siku upate kitu cha kusupport imani yako (kama unavyosoma sasa kwenye blog hii Mungu akubariki)
  2. ukifuatilia mengine ndio yatakayokuwa yanaingia ndani yako na si kukujenga bali kukubomoa.
  3. umri katika ukristo si kitu ila unailisha nini nafsi yako. 
  4. mkristo yuko kwenye ukristo miaka 20 lakini hawezi kujisimamia katika tatizo lake ni hatari.
  5. mtu unatoka kanisa ili kwenda lile eti hili halina upako je umejijengaje wewe katika maisha yako ya ukristo?
  6. unapozunguka siku nzima je umelisha nini nafsi yako?
  7. penda kukaa, kusoma na kutafakari neno na kuomba.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Jordan Digital |
Copyright © 2011. MAWIO HALISI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by jordan digital
Proudly powered by Blogger