"SAFARI ZA NJE KWA MATIBABU SASA BASI"









Zimekuwa zikitumika gharama nyingi sana watanzania kwenda kutibiwa nchi za nje lakini sasa itakuwa historia kwani MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA umejenga kituo kikubwa cha kimataifa cha uchunguzi wa maradhi mbalimbali ambacho kimegharimu bilioni 36. kituo hicho kimejengwa nje kidogo ya mji wa dodoma eneo la chuo kikuu cha dodoma!
kituo hicho kinatarajia kuanza kutoa huduma hizo mnamo January 2015 Pia kuanza kujengwa kwa jengo jingine la la tiba pembeni mwa jengo hilo la uchunguzi. kituo hicho kitajikita zaidi kwenye uchunguzi wa figo.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Jordan Digital |
Copyright © 2011. MAWIO HALISI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by jordan digital
Proudly powered by Blogger