DR. MYLES MUNROE HATUNAYE TENA



Amefariki jana kwa ajali ya ndege yeye na mkewe na binti yao.
Mtumishi huyu wa Mungu alizaliwa mwaka 1954 na kufariki 2014, akiwa na miaka 60.
Hakika ameyatumia maisha yake kuwa baraka kwa dunia yake na ameacha urithi kwa vizazi vingi.

kama binadamu inaumiza lakini lipo tumaini tutamuona tena mpendwa wetu Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake litukuzwe milele!
Asante Mungu kwa maisha ya mtumishi wako.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Jordan Digital |
Copyright © 2011. MAWIO HALISI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by jordan digital
Proudly powered by Blogger