Jengo la Kituo cha kisasa cha uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya binadamu lililojengwa mjini Dodoma |
Zimekuwa zikitumika gharama nyingi sana watanzania kwenda kutibiwa nchi za nje lakini sasa itakuwa historia kwani MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA umejenga kituo cha kisasa cha uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya binadamu ambacho kimegharimu bilioni 36.
kituo hicho kimejengwa nje kidogo ya mji wa dodoma eneo la chuo kikuu cha dodoma!
kituo hicho kinatarajia kuanza kutoa huduma hizo mnamo January 2014
+ comments + 1 comments
Kawaida tunayoiona nchi zilizoendelea ni kuwa na vituo vya aina hii vikiwa katika hospitali za vyuo vikuu. Kwa kuwa hiki hakipo kwenye Hospitali Kuu na ya Rufaa huenda safari za nje bado zitakuwepo kwa muda mrefu ujao.
Post a Comment