HALI YA RAIS KIKWETE YAZIDI KUIMARIKA



Hali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ambaye alifanyiwa operesheni Jumamosi, inaendelea kuimarika na kuwa nzuri na jana, Jumapili, Novemba 9, 2014, alianza kufanya mazoezi ya kutembea.
Rais Kikwete ameanza kufanya mazoezi ya kutembea siku ya pili tu baada ya kufanyiwa operesheni ya tezi dume (prostrate) kwenye Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Maryland, Marekani
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Jordan Digital |
Copyright © 2011. MAWIO HALISI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by jordan digital
Proudly powered by Blogger